240. Safirini kwa Amani

Safirini kwa amani, 

na Mungu wetu awalinde 

tena majeshi ya mbingu. 

Yesu akiwaongoza 

mwafurahiwa kila siku:

Za raha hata za shida. 

Kwaheri! Kwaheri! 

Mwokozi wetu mkuu 

awe nanyi!  Tuombapo 

tusisahau kuombeana daima.


Comments

Popular posts from this blog

230. Mwezi Umechipuka

151. Ee Moyo Wangu, Hima