146. Mwenyezi, Mwenyezi, Mwenyezi

Mwenyezi, Mwenyezi, Mwenyezi, 

Jina lako litukuzwe sana. 

Amin, Amin. 

Hata ulimwengu wetu

uteketezwe kwa moto. 

Nazo nyumba zetu, 

ziimbe utakatifu wake, 

Haleluya, Haleluya.

Comments

Popular posts from this blog

230. Mwezi Umechipuka

151. Ee Moyo Wangu, Hima