239. Nihurumie Bwana

Nihurumie Bwana, 

nipate  uzima, 

asinikinge mwovu 

katika wokovu.

Nisaidie Bwana, 

hata nisipotee, 

nitakusifu hapa na huko 

mbinguni.

Comments

Popular posts from this blog

230. Mwezi Umechipuka

151. Ee Moyo Wangu, Hima