218. Pambazuko la Jua

1. Pambazuko la jua,

   mwanga usiopimika, 

   unapotutokea 

   tunaamshwa na moyoni.

   Giza linafukuzwa na mchana.


2. Umande unanyesha 

   yatakayo kunyauka,

   nami nione kwako 

   nguvu kuinuka tena, 

   niongozwe rohoni kwa kweli.


3. Asubuhi uzima 

   unaletwa duniani, 

   nami ninatamani 

   kufufuka na rohoni, 

   ufufuke na mwili mbinguni.


4. Mchana zinaangazwa 

   njia zote kwa furaha, 

   woga unapokwisha

   na machozi na mashaka, 

   ndipo nitachangamka daima.


Comments

Popular posts from this blog

230. Mwezi Umechipuka

151. Ee Moyo Wangu, Hima