181. Enyi Wakristo, Kumbukeni

1. Enyi Wakristo, kumbukeni hivi:

   Sisi tunaokula mkate mmoja 

   tunaokunywa kinywaji kimoja, 

   tu mwili mmoja.


2. Tukipatana vema kama ndugu,

   tukiwasaidia  wenye shida,

   tukiwashika walio wanyonge 

   twamtii Bwana.


3. Tukikumbuka 

   pendo lake kubwa,

   tutapendana nasi mpaka kufa.

   Ee, Bwana, utimize shauri hili

   vizuri kwetu.


Comments

Popular posts from this blog

230. Mwezi Umechipuka

151. Ee Moyo Wangu, Hima