177. Nitakase, Unishike
1. Nitakase, unishike,
nifunike, unilaze!
2. Nipe kuwa mpole, mwema!
Tupatane sikuachi.
3. Niwe wako peke yako!
Nakuita, nakupenda.
4. Uliteswa, ulikufa;
wanifia mimi mwovu.
5. Ulitaka kutuponya,
kutufanya watu wapya!
6. Wewe pekee Mponya wangu;
mkono wako unishike!
Comments
Post a Comment