175. Heri Kumjua Yesu, Bwana
1. Heri kumjua Yesu, Bwana.
Roho huamka, aniita.
Anitambua mali yake,
hanipotezi, niko kwake.
Msimuliwe sifa zake:
Hana mwenzake,
Mponya pekee,
afurahisha moyo kweli.
Yeye ni Yesu,
tumtukuze.
2. Nikimwambia mambo yote
anituliza moyo vema.
Nikimfanyia kazi zangu,
anibariki hapa na juu.
Msimuliwe …
3. Nikimjutia nimekosa,
anaondoa na mashaka.
Yeye hapendi nikishindwa,
anipa nguvu za kwendea.
Msimuliwe …
Comments
Post a Comment