161. Watumwa wa Yesu

1. Watumwa wa Yesu jitayarisheni,

   shikeni Neno la Yesu 

   kesha kila siku.


2. Tengenezeni taa, wekeni mafuta,

   jifungeni muwe mbele, 

   hata kukimbia.


3. Omba usikome ninakuja sasa,

   angalia nawaonya, 

   hima njooni kwangu.


4. We utaokoka, ukikaa kwake,

   kutazama uso wake 

   utavikwa taji.


5. Bwana huandaa wateule wake, 

   awachukue mbinguni, 

   karamuni mwake. 

Comments

Popular posts from this blog

230. Mwezi Umechipuka

151. Ee Moyo Wangu, Hima