157. Mjini ni Mbinguni

1. Mjini ni mbinguni kwa Mungu,

   hakuna mabaya na shida,

   waongofu wengi wamejaa

   wanaomsifu Mwana Kondoo 

       Mbinguni, mbinguni 

       mjini ni mbinguni 

       kwa Mungu.  

       Mbinguni mbinguni  

       kwa Mungu ndio mji wa 

       kutupendeza.


2. Wateule wengi wa huko

   wanaoangazwa na Yesu,

   huko kuna furaha yetu. 

   Jua lake ni la uzima. 

        Mbinguni, …


3. Moyo wangu una furaha 

   ya kwenda mbinguni kwa 

   Mungu. Bwana univute uliko,

   kiaga chako kitimie!  

          Mbinguni, … 


4. Kitambo kidogo kipite

   na mimi nifike mbinguni.

   Bwana wangu Yesu nakuomba:

   Ukoo wangu wote ufike 

          Mbinguni, …

Comments

Popular posts from this blog

230. Mwezi Umechipuka

151. Ee Moyo Wangu, Hima