143. Utukufu ni wa Mungu
Utukufu ni wa Mungu juu,
tukuzo lote, uwezo wote ni wa
Mungu, Bwana wetu, Bwana wetu,
Mungu ni wa pekee
Shangilio lake lijaze katika dunia
popote,
Jina lake litukuzwe na watu wote.
Tumshangilie Mungu wetu
na Bwana wetu
nyimbo za tukuzo
Tumpeni heshima zote,
tumwimbie,
Sifa na tukuzo zampasa,
zote ni zake Mungu wetu!
Comments
Post a Comment