142. Vyenye Uzima Vimtukuze
Vyenye uzima vimtukuze,
vimtukuze Bwana,
vimtukuze, vimtukuze,
vimtukuze,
hata na utakatifu wake.
Kwani ameumba mbingu
na nchi.
Vyenye uzima vimtukuze,
vimtukuze Bwana,
vimtukuze Bwana,
vimtukuze Bwana,
vimtukuze Bwana.
Na magunda na mazeze
na filimbi na vilangwi
na vinanda
na vimtukuze!
Vyenye uzima na viimbe,
vimtukuze Bwana!
Na magunda na vinanda
Vyote vimtukuze
ee Bwana wa majeshi!
Haleluya!
Comments
Post a Comment